sw_tn/num/35/01.md

12 lines
241 B
Markdown

# nyanda
eneo kubwa ambalo ni tambarare
# wa ardhi yao kwa Walawi
BWANA hakuwapatia Walawi ardhi yao, kwa hiyo walitakiwa kuishi kwenye miji ambayo ilikuwa ya makabila mengine.
# eneo la malisho
eneo la malisho ambalo mifugo kuchungiwa