sw_tn/num/33/55.md

8 lines
286 B
Markdown

# Tarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya.
# kama siindano machoni mwenu na miibakatika mbavu zenu
kama vile kitu idogo sana kinavyosababisha jicho kuuma ndivyo itakavyokuwa kwa Iwaisraeli kama watamwacha Mkanaani kukaa katika ile nchi.