# Tarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya. # kama siindano machoni mwenu na miibakatika mbavu zenu kama vile kitu idogo sana kinavyosababisha jicho kuuma ndivyo itakavyokuwa kwa Iwaisraeli kama watamwacha Mkanaani kukaa katika ile nchi.