sw_tn/num/33/03.md

491 B

Taarifa kwa ujumla

Musa anaorodhesha maeneo ambayo Waisraeli walipita baada ya kutoka Msri.

mwezi wa kwanza, waliondoka siku ya kumi na tano

Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kihebrania

Wana wa Israeli waliondoka waziwazi mbele ya macho ya Wamisri

"Waisraeli waliondoka wakati Wamisri wakiwaona"

wazaliwa wao wa kwanza

"wazaliwa wao wa kwanza wa kiume"

ka kuwa pia alikuwa ameiadhibu miungu yao

"kwa kuwa pia alikuwa amedhihirisha kuwa yeye ni mkuu kulikko miungu yao"