sw_tn/num/33/03.md

20 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Musa anaorodhesha maeneo ambayo Waisraeli walipita baada ya kutoka Msri.
# mwezi wa kwanza, waliondoka siku ya kumi na tano
Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kihebrania
# Wana wa Israeli waliondoka waziwazi mbele ya macho ya Wamisri
"Waisraeli waliondoka wakati Wamisri wakiwaona"
# wazaliwa wao wa kwanza
"wazaliwa wao wa kwanza wa kiume"
# ka kuwa pia alikuwa ameiadhibu miungu yao
"kwa kuwa pia alikuwa amedhihirisha kuwa yeye ni mkuu kulikko miungu yao"