sw_tn/num/32/13.md

461 B

Hasira za BWANA ziliwaka

"BWANA alikasirika sana

miaka arobaini

"miaka 40"

kile kizazi ... kilipoteketea

"kizazi chote ... macho yake kilipokufa"

kilichofanya maovu mbele za macho yake

"kilichofanya maovu mbele za macho ya BWANA"

mmetokea katika nafasi za baba zenu

"mmeanza kutenda kama babu zenu"

ili kuongeza hasira ya BWANA kwa Israeli

"kumfanya BWANA kuwa na hasira zaidi kwa Israeli"

watu hawa wote

"kizazi chote hiki cha watu"