sw_tn/num/32/13.md

28 lines
461 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hasira za BWANA ziliwaka
"BWANA alikasirika sana
# miaka arobaini
"miaka 40"
# kile kizazi ... kilipoteketea
"kizazi chote ... macho yake kilipokufa"
# kilichofanya maovu mbele za macho yake
"kilichofanya maovu mbele za macho ya BWANA"
# mmetokea katika nafasi za baba zenu
"mmeanza kutenda kama babu zenu"
# ili kuongeza hasira ya BWANA kwa Israeli
"kumfanya BWANA kuwa na hasira zaidi kwa Israeli"
# watu hawa wote
"kizazi chote hiki cha watu"