sw_tn/num/32/06.md

410 B

Je. mngependa ndugu zenu waende vitani wakati ninyi mkikaa hapa?

"Si sahihi kwenu kukaa hapa wakati ndugu zenu wanaenda vitani"

Kwa nini kuwafisha moyo wana .... kwenye nchi ambayo BWANA amewapa?

"Msikatishe tamaa mioyo ... ardhi ambayo BWANA amewapa"

kuwafisha moyo wa Israeli wasivuke

"kuwafisha moyo watu wa Israel ili wasivuke" "au "msiwasababishe watu wa Israeli ili wasitake kuvuka kwenda"