# Je. mngependa ndugu zenu waende vitani wakati ninyi mkikaa hapa? "Si sahihi kwenu kukaa hapa wakati ndugu zenu wanaenda vitani" # Kwa nini kuwafisha moyo wana .... kwenye nchi ambayo BWANA amewapa? "Msikatishe tamaa mioyo ... ardhi ambayo BWANA amewapa" # kuwafisha moyo wa Israeli wasivuke "kuwafisha moyo watu wa Israel ili wasivuke" "au "msiwasababishe watu wa Israeli ili wasitake kuvuka kwenda"