sw_tn/num/31/48.md

20 lines
374 B
Markdown

# majemedari wa maelfu
Tazama 31:13
# juu ya maelfu ... juuya mamia
"maaskari zaidi ya maelfu ... maskari zaidi ya mamia"
# Makaptateni wa mamia
Tazama 31:13
# watumishi wako wamewahesabu
"watumishiwako." Hii ni njiaya kujinyenyekeza wakati wa kuongea na mtu mwenye mamlaka makubwa.
# hakuna hata mmoja wao aliyekosa
"tunajua kwa uhakika kuwa kila mmoja yuko hapa"