sw_tn/num/31/48.md

374 B

majemedari wa maelfu

Tazama 31:13

juu ya maelfu ... juuya mamia

"maaskari zaidi ya maelfu ... maskari zaidi ya mamia"

Makaptateni wa mamia

Tazama 31:13

watumishi wako wamewahesabu

"watumishiwako." Hii ni njiaya kujinyenyekeza wakati wa kuongea na mtu mwenye mamlaka makubwa.

hakuna hata mmoja wao aliyekosa

"tunajua kwa uhakika kuwa kila mmoja yuko hapa"