sw_tn/num/30/03.md

20 lines
386 B
Markdown

# na kufunga nafsi yake kwa kiapo
"anajitoa mwenyewe ili kutimiza ahadi" au "ahadi ya kufanya jambo fulani"
# nadahari na ahadi
maneno haya yana maana moja "Nadhriri"
# na kufunga nafsi yake
"ambacho ameahidi mwenyewe kukitimiza"
# kumzuia
"kuahirisha alichoahidi"
# ndipo nadhiri zake zitakuwa naguvu. kila ahadi ... itabaki kuwa naguvu.
"atatakiwa kutimiza kile alichoahidi"