sw_tn/num/30/03.md

386 B

na kufunga nafsi yake kwa kiapo

"anajitoa mwenyewe ili kutimiza ahadi" au "ahadi ya kufanya jambo fulani"

nadahari na ahadi

maneno haya yana maana moja "Nadhriri"

na kufunga nafsi yake

"ambacho ameahidi mwenyewe kukitimiza"

kumzuia

"kuahirisha alichoahidi"

ndipo nadhiri zake zitakuwa naguvu. kila ahadi ... itabaki kuwa naguvu.

"atatakiwa kutimiza kile alichoahidi"