sw_tn/num/29/35.md

335 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba.

siku ya nane

siku ya 8

mtakuwa na kusanyikok lingine makini

"kutaneni tena ili kumwabudu BWANA sawa na kusanyiko la siku ya kwanza "

Sadakailiyotengenezwa kwa moto

"mtaiteketeza kwenye madhabahu"