# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba. # siku ya nane siku ya 8 # mtakuwa na kusanyikok lingine makini "kutaneni tena ili kumwabudu BWANA sawa na kusanyiko la siku ya kwanza " # Sadakailiyotengenezwa kwa moto "mtaiteketeza kwenye madhabahu"