sw_tn/num/29/23.md

20 lines
472 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba.
# siku ya nne ya kusanyiko
"siku ya 4 ya sikukuu." neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu za majuma.
# wanakondoo wa kiume kumi na nne
"wanakondoo wa kiume 14"
# kama ilivyoamriwa
"kama BWANA alivyoamuru"
# sadaka zake za unga, na sadakazakae za vinywaji
"pamoja na sadaka zake za unga, na sadaka zake za vinywaji zinazoambatana nazo."