sw_tn/num/29/23.md

472 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba.

siku ya nne ya kusanyiko

"siku ya 4 ya sikukuu." neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu za majuma.

wanakondoo wa kiume kumi na nne

"wanakondoo wa kiume 14"

kama ilivyoamriwa

"kama BWANA alivyoamuru"

sadaka zake za unga, na sadakazakae za vinywaji

"pamoja na sadaka zake za unga, na sadaka zake za vinywaji zinazoambatana nazo."