sw_tn/num/29/20.md

16 lines
413 B
Markdown

# siku ya tatu ya kusanyiko
"siku ya 3 ya sikukuu. Neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu ya majuma
# mafahari kumi na moja, kondoo dume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne
"mafahari 11, kondoo waume 2, na wanakondoo waume 14."
# kama ilivyoamriwa
"kama BWANA alivyoamuru"
# sadaka zakeza unga, na sadaka zaka za vinywaji
"pamoja na sadaka zake za unga na sadaka zake za vinywaji zinazoambatana nazo."