sw_tn/num/29/20.md

413 B

siku ya tatu ya kusanyiko

"siku ya 3 ya sikukuu. Neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu ya majuma

mafahari kumi na moja, kondoo dume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne

"mafahari 11, kondoo waume 2, na wanakondoo waume 14."

kama ilivyoamriwa

"kama BWANA alivyoamuru"

sadaka zakeza unga, na sadaka zaka za vinywaji

"pamoja na sadaka zake za unga na sadaka zake za vinywaji zinazoambatana nazo."