sw_tn/num/29/07.md

12 lines
259 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya
# siku ya kumi ya mwezi wa saba
"siku ya 10 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya Kihebrania.
# mtakuwa na kusanyiko takatifu
kusanyikeni ili kumwabudu na kumheshimu BWANA"