sw_tn/num/29/07.md

259 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya

siku ya kumi ya mwezi wa saba

"siku ya 10 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya Kihebrania.

mtakuwa na kusanyiko takatifu

kusanyikeni ili kumwabudu na kumheshimu BWANA"