sw_tn/num/28/26.md

28 lines
467 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya
# sikuya malimbuko
"Hii ni siku ya sikukuu ambayo wanatoa sadaka ya unga kwa BWANA.
# Mtakuwa na kusanyiko takatifu la kumwabudu BWANA
"Mtakusanyika pamoja kumwabudu na kumheshimu BWANA"
# uliochanganywa na mafuta
ambao mmeuchanganya na mafuta
# sehemu za kumi tatu za efa
"lita 6"
# sehemu za kumi tatu za efa
"lita 6"
# sehemu za kumi mbili
"Takribani lita 4.5"