sw_tn/num/28/26.md

467 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya

sikuya malimbuko

"Hii ni siku ya sikukuu ambayo wanatoa sadaka ya unga kwa BWANA.

Mtakuwa na kusanyiko takatifu la kumwabudu BWANA

"Mtakusanyika pamoja kumwabudu na kumheshimu BWANA"

uliochanganywa na mafuta

ambao mmeuchanganya na mafuta

sehemu za kumi tatu za efa

"lita 6"

sehemu za kumi tatu za efa

"lita 6"

sehemu za kumi mbili

"Takribani lita 4.5"