sw_tn/num/28/09.md

16 lines
280 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya
# sehemu ya kumi mbili ya efa
"takribani lita 4.5"
# iliyochanganywa na mafuta
"ambayo mmeichanganya na mafuta"
# na ile sadaka ya kinywaji
"ile sadaka ya kinywaji inayoambatana nayo"