# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya # sehemu ya kumi mbili ya efa "takribani lita 4.5" # iliyochanganywa na mafuta "ambayo mmeichanganya na mafuta" # na ile sadaka ya kinywaji "ile sadaka ya kinywaji inayoambatana nayo"