sw_tn/num/27/20.md

16 lines
359 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongeea na Musa juu ya Joshua
# Utaweka baadhi ya mamlaka yako kwake
"utampa baadhi ya mamlaka yako"
# Urimu
Hili lilikuwa jiwe la thamani ambalo kuhani mkuu alilivaa kifuani pake. Alilitumia kwa kutambua mapenzi ya Mungu.
# Yeye pamoja na watu wa Israeli, ambao ni watu wote
"Wote yeye na taifa lote la Israeli"