sw_tn/num/27/20.md

359 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongeea na Musa juu ya Joshua

Utaweka baadhi ya mamlaka yako kwake

"utampa baadhi ya mamlaka yako"

Urimu

Hili lilikuwa jiwe la thamani ambalo kuhani mkuu alilivaa kifuani pake. Alilitumia kwa kutambua mapenzi ya Mungu.

Yeye pamoja na watu wa Israeli, ambao ni watu wote

"Wote yeye na taifa lote la Israeli"