sw_tn/num/27/18.md

12 lines
337 B
Markdown

# Mchukue Joshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yangu hukaa
Roho ya BWANA yumo ndani ya Joshua, Hii inamaanisha kuwa Joshua humtii BWANA na kufuata amri zake.
# umwekee mikono yako juu yake
"umwekee mikon yako juu yake ili umwagize"
# umwamuru kuwaongoza mbele ya macho yao
"na mbele yao umwamuru Joshua kuwaongoza watu wa Israeli"