sw_tn/num/27/18.md

337 B

Mchukue Joshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yangu hukaa

Roho ya BWANA yumo ndani ya Joshua, Hii inamaanisha kuwa Joshua humtii BWANA na kufuata amri zake.

umwekee mikono yako juu yake

"umwekee mikon yako juu yake ili umwagize"

umwamuru kuwaongoza mbele ya macho yao

"na mbele yao umwamuru Joshua kuwaongoza watu wa Israeli"