sw_tn/num/26/60.md

395 B

Nadabu ... Abihu ... Ithamari

Tazama 3:1

Walipotoa sadaka kwa BWANA sadaka ya moto isiyokubalika

Tazama 3:3

waliohesabiwa

"ambao viongozi waliwahesabu"

Elfu ishirini na tatu

"23,000"

Umri wa mwezi mmoja na zaidi

"umri wamwezi mmoja na kuendelea"

hawakuhesabiwa

"lakini viongozi hawakuwahesabu"

hawakupewa urithi

"kwa sababu BWANA alisemawasipewe ardhi kama uriti wao"