sw_tn/num/26/60.md

28 lines
395 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nadabu ... Abihu ... Ithamari
Tazama 3:1
# Walipotoa sadaka kwa BWANA sadaka ya moto isiyokubalika
Tazama 3:3
# waliohesabiwa
"ambao viongozi waliwahesabu"
# Elfu ishirini na tatu
"23,000"
# Umri wa mwezi mmoja na zaidi
"umri wamwezi mmoja na kuendelea"
# hawakuhesabiwa
"lakini viongozi hawakuwahesabu"
# hawakupewa urithi
"kwa sababu BWANA alisemawasipewe ardhi kama uriti wao"