sw_tn/num/26/54.md

28 lines
318 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea na Musa
# utawagawia urithi mkubwa
"utawapa ardhi zaidi kuwa urithi"
# waliohesabiwa
"ambao viongozi wa Israeli waliwahesabu
# ardhi itagawiwa
"mtaigawa ardhi"
# kwa kupigiwa kura
"kwa kupiga kura"
# utagawiwa
"utaigawa"
# watagawiwa
"na mtaigawa ardhi kwao"