# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea na Musa # utawagawia urithi mkubwa "utawapa ardhi zaidi kuwa urithi" # waliohesabiwa "ambao viongozi wa Israeli waliwahesabu # ardhi itagawiwa "mtaigawa ardhi" # kwa kupigiwa kura "kwa kupiga kura" # utagawiwa "utaigawa" # watagawiwa "na mtaigawa ardhi kwao"