sw_tn/num/25/14.md

221 B

Sasa

Hii inatutoa kwenye habari nyingine na kutupeleka kwenye habari ya Zimri na Cozibi.

alyeuawa

"ambaye Finehasi alimwua"

Zimri ... Salu ... Zuri

Haya ni majina ya wanaume

Cozibi

Hili ni jina la mwanamke