# Sasa Hii inatutoa kwenye habari nyingine na kutupeleka kwenye habari ya Zimri na Cozibi. # alyeuawa "ambaye Finehasi alimwua" # Zimri ... Salu ... Zuri Haya ni majina ya wanaume # Cozibi Hili ni jina la mwanamke