sw_tn/num/25/06.md

12 lines
295 B
Markdown

# akaleta mwanake mmoja aliyekuwa miongoni mwa familia yake
"akaleta mwanamke wa Kimidiani kwenye kambi ya Waisraeli ili alale naye"
# mbele ya macho ya Musa na watu wa Israeli
"mbele ya macho ya" ni nahau inayomaanisha walisikia juu yao, au walipata taarifa juu yao"
# Eliezeri
Tazama 3:1