# akaleta mwanake mmoja aliyekuwa miongoni mwa familia yake "akaleta mwanamke wa Kimidiani kwenye kambi ya Waisraeli ili alale naye" # mbele ya macho ya Musa na watu wa Israeli "mbele ya macho ya" ni nahau inayomaanisha walisikia juu yao, au walipata taarifa juu yao" # Eliezeri Tazama 3:1