sw_tn/num/24/20.md

195 B

Balamu akamtazama Amaleki

Amaleki inamaanisha watu wa Amaleki ambao pia aliwatolea unabii.

mwisho wake utakuwa

amametumia iwakilishi "wake" kwa sababu ametumia kiwakilishi cha mtu mmoja.