# Balamu akamtazama Amaleki Amaleki inamaanisha watu wa Amaleki ambao pia aliwatolea unabii. # mwisho wake utakuwa amametumia iwakilishi "wake" kwa sababu ametumia kiwakilishi cha mtu mmoja.