sw_tn/num/24/09.md

404 B

Taarifa kwa ujumla

Balaamu anamaliza kutoa unabii kwa uwezo wa Roho wa Mungu

Ananyatia kama siimba mume, na kama simba jike.

Inamaanisha kuwa wako tayari kushambulia.

Nani anayejaribu kumshambulia

"Hakuna anayethubutu kumsumbua"

Kila mmoja anayembarki na abarikiwe; na kila mmoja anayemlaani na alaaniwe

"Mungu awabariki wale wanawabariki Waisraeli; na awalaani wale wanowalaani Wasraeli"