sw_tn/num/24/09.md

16 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anamaliza kutoa unabii kwa uwezo wa Roho wa Mungu
# Ananyatia kama siimba mume, na kama simba jike.
Inamaanisha kuwa wako tayari kushambulia.
# Nani anayejaribu kumshambulia
"Hakuna anayethubutu kumsumbua"
# Kila mmoja anayembarki na abarikiwe; na kila mmoja anayemlaani na alaaniwe
"Mungu awabariki wale wanawabariki Waisraeli; na awalaani wale wanowalaani Wasraeli"