sw_tn/num/24/04.md

20 lines
518 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anaendelea kutoa unabii kwa kuwezeshwa na Mungu
# Huongeae ... Huona ... humwinamia
Haya ni maneno ya Balaamu
# humwinamia
Hili ni tendo la heshima
# macho yake yakiwa yamefumbuliwa
"macho yakiwa yamefumbuliwa" inamaaniaha kuwa Balaamu alikuwa amepokea uwezo wa kufahamu kile ambacho Mungu alimtaka aseme.
# Jinsi zilivyo nzuri hema zako, ewe Yakobo, mahali unapoishi, Israeli
Virai hivi vyote vina maana moja na vinaonesha jinsi kambi za Waisraeli zilivyokuwa nzuri kwa Balaamu.