sw_tn/num/24/04.md

518 B

Taarifa kwa ujumla

Balaamu anaendelea kutoa unabii kwa kuwezeshwa na Mungu

Huongeae ... Huona ... humwinamia

Haya ni maneno ya Balaamu

humwinamia

Hili ni tendo la heshima

macho yake yakiwa yamefumbuliwa

"macho yakiwa yamefumbuliwa" inamaaniaha kuwa Balaamu alikuwa amepokea uwezo wa kufahamu kile ambacho Mungu alimtaka aseme.

Jinsi zilivyo nzuri hema zako, ewe Yakobo, mahali unapoishi, Israeli

Virai hivi vyote vina maana moja na vinaonesha jinsi kambi za Waisraeli zilivyokuwa nzuri kwa Balaamu.