sw_tn/num/24/02.md

261 B

Akayainua macho yake

"akatazama juu"

Roho wa Mungu akamjia

Roho wa Muungu alimtawala wakati wa kutoa unabii.

Akapokea huu unabii

"Mungu alimpatia huu unabii"

Balaamu mwana wa Beori

Tazama 22:5

ambaye macho yake yamefunuliwa

anaona na kuelewa