# Akayainua macho yake "akatazama juu" # Roho wa Mungu akamjia Roho wa Muungu alimtawala wakati wa kutoa unabii. # Akapokea huu unabii "Mungu alimpatia huu unabii" # Balaamu mwana wa Beori Tazama 22:5 # ambaye macho yake yamefunuliwa anaona na kuelewa