sw_tn/num/23/09.md

381 B

Kwa muwa kutoka juu ya miamba ninamwaona ... kutoka juu ya milima ninamtazama

Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja. "Balaamu alimwona Israeli kutokea juu ya mlima."

Ninamwona ... ninamtazama

Kiwakilishi cha "mwo" na "m" kinawakilisha Waisraeli.

Kuna watu

"Kuna kundi la watu"

na hawajioni wenyewe kama ni taifa la kwaida

"wanajiona wenyewe kuwa taifa maalumu"