sw_tn/num/23/09.md

16 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa muwa kutoka juu ya miamba ninamwaona ... kutoka juu ya milima ninamtazama
Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja. "Balaamu alimwona Israeli kutokea juu ya mlima."
# Ninamwona ... ninamtazama
Kiwakilishi cha "mwo" na "m" kinawakilisha Waisraeli.
# Kuna watu
"Kuna kundi la watu"
# na hawajioni wenyewe kama ni taifa la kwaida
"wanajiona wenyewe kuwa taifa maalumu"