sw_tn/num/22/28.md

455 B

Kisha BWANA akafungua kinywa cha Punda na akaongea

"Kisaha BWANA akampa punda uwezo wa kuongea kama vile binadamu awezavyo kuongea"

Akamwabia Balaamu

"Yule punda akamwambia Balaamu"

Je, mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa?

"Mimi ni punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote, mpka hivi sasa."

Je, nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali?

"sijawahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi"