sw_tn/num/22/28.md

16 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha BWANA akafungua kinywa cha Punda na akaongea
"Kisaha BWANA akampa punda uwezo wa kuongea kama vile binadamu awezavyo kuongea"
# Akamwabia Balaamu
"Yule punda akamwambia Balaamu"
# Je, mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa?
"Mimi ni punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote, mpka hivi sasa."
# Je, nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali?
"sijawahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi"