sw_tn/num/22/07.md

256 B

malipo ya uganga

"Pesa ya kumlipa Balaamu ili awalaani Waisraeli"

Wakafiaka kwa Blaamu

"Walienda kwa Balaamu"

Wakamwambia maneno ya Balaki

"maneno" inamaanishaujumbe wa Balaki. "Wakamwambia ujumbe toka kwa Balaki"

nitawaletea

"Nitawaambia"